Skip to content
Home » Mjumuiko wa Dua Mbali Mbali Muhimu pdf download

Mjumuiko wa Dua Mbali Mbali Muhimu pdf download

MJUMUIKO WA DUA MBALI MBALI MUHIMU
  • Book Title:
 Mjumuiko Wa Dua Mbali Mbali Muhimu
  • Book Author:
Sharif Jafar Al Swadiq Muhammad Al Beydh
  • Total Pages
76
  • Book Views:

Loading

  • Click for the  
PDF Direct Download Link
  • Get HardCover  
Click for Hard Copy from Amazon

Mjumuiko wa Dua Mbali Mbali Muhimu – Sampuli

Mjumuiko wa Dua Mbali Mbali Muhimu.

مجموع الفوائد وجزيل العوائد من الأذكار والأدعية والتحصينات والقصائد

أذكار الصلاة

ADHKARI ZA SWALA

أدعية ما بعد صلاة الفجر

Dua Ambazo Zina Somwa Baada Swala Ya Alfajiri

Mwenye kudumisha kusoma aya hizi na sura hini kila baada ya swala ya asubuhi.

Mungu atamfungulia milango ya kila kheri na atamruzuku namna asodhaniya. Pia atamuezesha kulipa madeni yake na atamsahilishia mambo yake yote.

استغفر الله العظيم الذي لا إله إلا هو الحي القيوم بديع السموات والأرض وما بينهما من جميع جرمي وإسرافي على نفسي وأتوب إليه (3x) :

(فَمَن يُرِدِ اللَّهُ أَن يَهْدِيَهُ يَشْرَحْ صَدْرَهُ لِلْإِسْلَامِ)

( رَبِّ اشْرَحْ لِي صَدْرِي* وَيَسِّرْ لِي أَمْرِي* وَاحْلُلْ عُقْدَةً مِّن لِّسَانِي * يَفْقَهُوا قَوْلِي)

(أَفَمَن شَرَحَ اللَّهُ صَدْرَهُ لِلْإِسْلَامِ فَهُوَ عَلَىٰ نُورٍ مِّن رَّبِّهِ)

Dua Baada Ya Swala

أدعية ما بعد الصلاة

يقرأ بعد صلاة الجمعة، ويروى في فضله أن من داوم على هذا الدعاء عقب كل صلاة وخصوصا بعد صلاة الجمعة حفظه الله من كل سوء ونصره على أعدائه وان بعناية ربه محفوظا، ورزقه الله من حيث لا يحتسب ويسر له معيشته وقضى دينه وأصلح شأنه وأتم له كل حال، لأنه كنز ينفق منه ولا ينفد بإذن الله

Faida ya dua hii ukiisoma kila baada ya swala (hasa swala ya Juma) na ukadumu nayo mungu atakulinda na atakuhifadhi na kila mabaya, atakunusuru na maadui zako, atakurzuku kwa namna usodhania, atakusahilishia maisha yako / kulipa madeni yako, atakutengenezea na kukutimizia kila hali yako na bengi (Bank) yakutoa isomalizika kwa idhni ya mungu.

 یا الله یا واحد يا أحد یا ماجد یا واجد یا موجود یا جواد يا صمد يا باسط يا كريم يا وهاب، يا ذا الطول والإحسان، يا جميل يا تواب، يا غني يا مغني، يافتاح يا رزاق يا عليم، يا حي يا قيوم، يا رحمن يا رحيم، يا بديع السموات والأرض، يا ذا الجلال والإكرام، يا حنان يا منان، پارؤوف يا ديان.

انفحني منك بنفحة خير تغنني بها عمن سواك، إنك على كل شيء قدير، برحمتك أستغيث يا أرحم الراحمين.

(إِن تَسْتَفْتِحُوا فَقَدْ جَاءَكُمُ الْفَتْح ۖ)

To read more about the Mjumuiko Wa Dua Mbali Mbali Muhimu book Click the download button below to get it for free

or

Report broken link
Support this Website


for websites

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *